NAS THE DON
Miezi mitano (5) baada ya kuachia “Nasty” ,
Nas amerudi tena na ngoma “THE DON" kutoka
katika album yake ya 10 album hiyo itaitwa “THE DON” ngoma hiyo
imetoka ili kuipromote album ya mtu mzima Nas, “THE DON” imetengenezwa na
mtayarishaji wa mapigo ya muziki Salaam Remi akishirikiana na marehemu Heavy D.
0 comments:
Post a Comment