Ngoma hiyo ambayo mashahiri yake yameandikwa na Barnaba [T.H.T] na kutayarishwa na Producer Maneck wa AM Records.
Shaa ametupia single cover ya ngoma hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook "#Promise #NewSingle By Shaa Official release date is 28/01/2013...will provide a link for both the audio and video #Photography by Slide Visuals"
Video ambayo imefanywa na Adam Juma - Visual LAB.
Stay tune info zaidi utazipata.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment