TGP, Kundi kongwe la
muziki wa hiphop laachia ngoma mpya wakiwa Frost aka Djibril na Snuz
wakishirikiana na Moplus & mwanadada Catrina katika ngoma iitwayo "MILLIONI MOJA" Ikiwa ni beat ya Dj Azard pande za www.noizmekah.com Huku mixing ikifanywa na DefXtro, Kwa mawasiliano ya mahojiano na TGP check
nao kupitia +255 765 544491 au +255 713 064 405
Download hapa.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™