Blogger Widgets
Home » » Brown Wa NBA - RANGI YA MAKOPA Lyrics

Brown Wa NBA - RANGI YA MAKOPA Lyrics




Brown Wa NBA - RANGI YA MAKOPA Lyrics
Featuring:T-Nock


Embed View Song Activity
(Brown Wa NBA)
Heyoo!..Lollipop
VERSE I
Nambie kuwa unanipenda love is never die
Vile umenianda kama shaggy I wanna fly
Sindano hado hado najidunga
Kimapenzi kamili gado kuwa mjinga
Nacho kuomba uboreshe zaidi ya kata
Ushinikize mahabara kila darasa
NBA_ President umeninasa
Kifikra umenitia limbwata
Am sory pale ntapokosa
Naepusha mua kuzamisha meli
Kwa hizi love-bite kidumu mulika mwizi
Drama king wa maqween nazidi kuwa chizi
Yakupasa kuwa na moyo wa subira
Kila siku kwangu mawazo mi nakesha tilalila
Nisiwe Samson mwishowe ukaja geuka delila
We guse nifatefate wee ndo wangu ulio zaliwa
(Rangi ya kopaa babyyyyyyy!)
Mapenzi ni burudani tosha
Zaidi ya mituni disco dancer
So, ndo kila track Bombay napagusa
Aah!..,baby kweli ngoswe penzi
Kitovu cha uzembee
Nimekufa lonely bila kuchanwa nyembee
Aah!..,baby kweli ngoswe penzi
Kitovu cha uzembee
Nimekufa lonely bila kuchanwa nyembee..haa!!
Chorus:
(baby baby iiiii…)
/:mwenye rangi ya makopa
Vile mimi nina muwaza
Amenihug… amenitouch…  amenigusa gusa
Vile mimi nikimwona
Moyo wangu unamuwaza
Amenihug… amenitouch…  amenigusa gusa
Ajee asimame na mimi
Ajee aimbe na mimi
Ajee asilie lie afurahie anipetty na mimi
Ajee asimame na mimi
Ajee aimbe na mimi
Ajee asilie lie afurahie anipetty na mimi
VERSE II
Lotion uipendayo Naturaly honey
Marashi upulizayo secret nimekununulia
Problem tamaa humuua mtu mjinga
Kimila na desturi wee ni mjanja
Si-mind kukuchezea alafu nikuache
Mtoto mzuri kaa wewe nataka tuishi sote
HATA!..hata lollipop alikusifia kwamba wewe ni kifaa
Kambi ya NBA kila mmoja aliduwaa..dah!
Is de de  e dangerous zone
Masharo wakikuona utanibwaga chini
Nika fall in love
zaidi ya jingo ya mchomvu wape mashavu
Azana kwa Msikiti nikaisikia
Pingu za maisha nawe malikia
Nimezama zama zama
Nashindwa kutoka mama
Asilimia kielimu zinarudi nyuma sana
Kiukweli unauzuri wa asili si wa dukani
Wote wamekili kwamba wewe ni mzuri
 na kwangu huna mpinzaniiii…!
(Ehe he he..!)
Hiyo mifupa kwa fisi ni mwemwelee
kibogoyo natogwirwe mazezelee
Mi kibogoyo natogwirwe mazezeleeee!
 baby kweli ngoswe penzi
Kitovu cha uzembee
Nimekufa lonely bila kuchanwa nyembee
Aah!..,baby kweli ngoswe penzi
Kitovu cha uzembee
Nimekufa lonely bila kuchanwa nyembee..hallaa!!
Chorus:
(aaaah!…eeh eeeehee!..)
/:mwenye rangi ya makopa
Vile mimi nina muwaza
Amenihug… amenitouch…  amenigusa gusa
Vile mimi nikimwona
Moyo wangu unamuwaza
Amenihug… amenitouch…  amenigusa gusa
Ajee asimame na mimi
Ajee aimbe na mimi
Ajee asilie lie afurahie anipetty na mimi
Ajee asimame na mimi
Ajee aimbe na mimi
Ajee asilie lie afurahie anipetty na mimi.
Bridge:
Aah!..Wee pendeza pendeza tuu
Pendeza  mamaa
.Wee pendeza pendeza tuu
Pendeza  mamaa
.Wee pendeza pendeza tuu
Pendeza  mamaa
Outro:
Heyoo! Lolly kick na snare…malavidavi song, yezr dats nice baby
Brown Wa NBA…kipenzi cha watoto wazuri.. ha ha ha huuu!!..
Dats nice baby along side T-Nock..tuna bembeleza mapenzi tena he he he mpaka wachee..(mwaaah!) love you..come on he he NBA Money KAKA ZAO.he he he mapenzi bwana wee acha tuu..he he he..!
 

© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.