Sasa hivi Belle 9 anaiandaa album yake mpya ambayo itakuwa ni album ya pili iliyopewa jina la VITAMIN MUSIC. Mbali na album hiyo Belle 9 anatarajia kutoka na Mixtape yake aliyoipa jina la NO RAPERS NO MC NO SINGER. Mbali na hivi vyote anasema mashabiki wake watarajie ngoma mpya muda wowote baada ya mwezi huu mtukufu.
DJ CHOKA