DOWNLOAD | Ostaz Juma ft PNC - Fleva Kali (Audio)
Big Boss wa Mtanashati Ent anajulikana kwa jina la Ostaz Juma Namusoma amerudi tena na wimbo wake wa pili alioupa jina la FLEVA KALI. Ostaz sasa hivi amemshirikisha msanii PNC kwenye chorus na kumweka Dogo Janja kwenye Outro, wimbo umetengenezwa na Prod Mbezi ambaye studio yake iko pande za Tabata. Ostaz Juma safari hii amejitaidi kuja tofauti kuanzia kuimba tofauti na wimbo wake wa kwanza.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment