Blogger Widgets
Home » » SHUKRANI NYINGI KWA KUNIPIGIA KURA | Waiting for Result on Sartuday

SHUKRANI NYINGI KWA KUNIPIGIA KURA | Waiting for Result on Sartuday



 Ahsante kwa Muda wote wa kunipigia kura katika Shindano la Tanzania Blog Award, Nashukuru sana, na mmenipa nguvu zaidi ya kuendelea kuwa nanyi, mwitikio wenu ulikuwa mkubwa sana. Nina imani ushindi utakuja kwetu.

Kwa mujibu wa Tanzania Blog Award, majibu ya Shindano yatatangazwa siku ya Jumamosi katika mtandao wa http://tanzanianblogawards.blogspot.com/

Subira iwe kwetu. Ahsante na Endelea kutembelea Blog hii, kwa Maoni unaweza kunipata kupitia Mawasiliano yangu yaliyo katika Blog hii.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.