Blogger Widgets
Home » » RICK ROSS ASAINI DEAL NA KAMPUNI YA REEBOK

RICK ROSS ASAINI DEAL NA KAMPUNI YA REEBOK


Rozay ni msanii aliefuta kusaini deal na REEBOK
toka ile ya RUN DMC na kampuni ya ADIDAS,
walikua wanavaa raba hizo bila kamba mpaka sasa
 imekua ni sehemu na utamaduni wa HIP HOP kuvaa
sneaker bila kamba.

REEBOK wameamua kujiingiza kwenye music huku
wakifanya biashara na kuitangaza brand yao ya REEBOK
 na mkali wa ngoma ya Blow Money Fast, Maybach music,
Im not a star, Free mason, Aston Martin Music na Boss Mtu mzima
Rozay.

Kutoka NICE KICKS Rick Ross rasmi amesaini na REEBOK
pamoja na mume wa Alicia Keys mkali Swizz Beats walitweet

0 comments:

Post a Comment

.