Hii ni kazi mpya kwa mwaka huu ya msanii C-SIR MADINI inayoitwa NDAGU akiwa amemshirikisha JOSEFLY.
NDAGU
ni neno la kisukuma linalomaanisha Kafara, hivyo story ya wimbo huu
inazungumzia watoto wa familia moja walioamua kuukataa utajiri wa
familia yao, baada ya kugundua utajiri huo umetokana na baba yao kumtoa
kafara mdogo wao mmoja. Ni wimbo wenye ujumbe unaogusa maisha ya watu
wengi. Enjoy
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment