Blogger Widgets
Home » » WIMBO MPYA | KIGOMA ALL STARS - NYUMBANI(Audio|Download Mp3)

WIMBO MPYA | KIGOMA ALL STARS - NYUMBANI(Audio|Download Mp3)


Ule umoja wa Wasanii wa Kigoma maarufu kama wana wa "LEKA DUTIGITE" umeachia kibao kipya kinachoenda kwa Jina la "Nyumbani" ndani ya wimbo wameweza kuongelea Nchi yetu ya Tanzania kwa namna mbalimbali. Respect kwa kundi hilo likiundwa na wakali kama Mwasiti, Diamond, Baba Revo, Queen Darling, Abdu Kiba, Ommy Dimpoz, Peter Msechu, Linex, Banana Zoro, Chege, Makomando na Recho.
 Hiki hapa:>

© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

0 comments:

Post a Comment

.