Mkali Will I am akiwa na Jessie J
walipiga bonge la show katika sherehe kubwa za Malkia Elizabeth wa II,
wakali hao waliperform “The Voice” Black Eyed Peas wakaperform ngoma yao
inyajulikana sana “I Gotta Feeling” ikiwa ni katika eneo la nje
(OUTDOOR SHOW) huko Buckingham Palace London. Mwanadadiva huyo wa
kiingereza pia alitoa zawadi ya ngoma yake inayofanya fresh kwa sasa
inayoitwa “Domino” na baadae wakawa backstage na wenzake walioimba nao
kwenye show nakupeana sifa kibao.
http://djfetty.blogspot.com/2012/06/jessie-j-na-will-iam-wapiga-show-kali.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+DjFetty+%28DJ+Fetty%29

0 comments:
Post a Comment