Blogger Widgets
Home » » Nyumba 10 duniani zenye maumbo ya pekee.

Nyumba 10 duniani zenye maumbo ya pekee.


Inapatikana Dar al Hajar – Yemen

(images via: Travel Adventures)
Hili jengo la miamba ya mawe sio Hoteli au jumba la maonyesho Dar al Hajar ninyumba iliojengwa kwajili ya mapumziko na Imam Yahya mwaka wa 1930s,
Bubble House – Tourettes-sur-Loup, France
(image via: Wikimedia Commons + Freaky Martin)
Inaitwa ‘bubble house’ ya Tourrettes-sur-Loup, France,ina miaka 35na bado kumalizika,.aliye fikiri juu ya kujenga jengo hilo na Pierre Cardin,

Wooden Skyscraper – Arkhangelsk, Russia

(images via: The Telegraph + English Russia)
Mkulima Nikolai Sutyagin, alianza kujenga hili jengo linaloenda kwa jina ‘wooden skyscraper’ huko Arkhangelsk, Russia kwa lengo la kuwa jengo mbili tu lakini aliposafiri kwenda Japan na Norway akashawishika kuendelea kujenga zaidi
Haya ndio aliyosema“First I added three floors but then the house looked ungainly, like a mushroom,” “So I added another and it still didn’t look right so I kept going. What you see today is a happy accident.” 

The Upside-Down House – Szymbark, Poland(Nyumba Juu chini)

(images via: Fresh Home)
Mwenye jengo anaitwa Daniel Czapiewski alijenga hilijengo The Upside Down House kama kuashiria mwisho wa dunia, na ilichukua siku 114 kujenga kwa kutumia mbao.

Hang Nga Villa – Dalat, Vietnam

(image via: Travel Blog)
Imejengwa na binti wa Ho Chi Minh`s binti Hang Nga alijenga Hang Nga Villa kama nyumba ya kimasihara tu katika kufurahiya kazazake za kisanaa.Kwa sasa inatumika kama  restaurant.

Inajulikana kamaToilet-Shaped House – Suweon, South Korea


(images via: Reuters)
Jengo toilet-shaped house a.k.a Mayor Toile linapatikana huko Suweon, South Korea lilijengwa na Sim Jae-Duck

Eliphante & Hippodome – Cornville, Arizona

(images via: Apartment Therapy)
Inajulikana kama ‘Eliphante house’ imejengwa/kubuniwa na na msanii Michael Kahn na mke wake Leda Livant kwa miaka 28 na imetumia hekari 3.

Inversion House – Houston, Texas

(images via: Flickr user Kevin O’Mara)
Wasanii Dan Havel and Dean Ruck waliamua kujenga hilijengo The Art League huko Houston kama sehemu ya kazi sa kisanii/ studio na pakuandalia kazi za wasanii(Studio)

Shoe House -  South Africa

(images via: LukeCole.com)
Nyumba inaenda kwajina la Kiatu ‘shoe house’huko Afrika ya Kusini ni kazi ya kisanaa na mfanyakazi wa hoteli bwana Ron Van Zyl, aliye jenga kwaajili ya mke wake Yvonne mwaka 1990.

Mushroom House – Cincinnati, Ohio

(images via: Agility Nut)
Terry Brown alibuni hili jengo (Nyumba ya Uyoga) ‘mushroom house’,baada ya kuwa katika majaribio ya kazi za mbao, Colored glass, na baadhi ya metal kujenga baadhi ya maumbo mbali-mbali.Profesa mmoja wa chuo cha Cicncinnati akaunga mkono kazi ya Brown katika kujenga hilo jengo mwaka 2008.

0 comments:

Post a Comment

.