![]() |
Casper (katikati) akiwa na mashoga |
Mpenzi wa Jennifer Lopez, Casper Smart ameshutumiwa kuwa
yupo na mwanamuziki huyo kwasababu ya umaarufu na utajiri wake kwasababu ni
shoga wa kisirisiri.
Jaji huyo wa American Idol amekuwa na uhusiano na dancer
huyo kwa miezi saba sasa lakini vyanzo mbalimbali hivi karibuni vimetonya kuwa
Casper ni ‘punga’ wa chini ya carpet.
Joshua Lee Ayers, dancer aliyefanya kazi na wasanii kama
LL Cool J, Fergie na Ludacris, juzi
alipost picha ya Casper kwenye Twitter anayodai kuwa ni kuthibitisha kuwa
Casper sio riziki.
"Check out Ur boy… And his low key homo ways,"
Joshua aliandika kwenye picha hiyo.
Joshua alipost picha nyingine mwezi uliopita na
kuandika, “I know what I know, Not love, a lot of business and public
relations."
Wawakilishi wa Jennifer na Casper wamezitupilia mbali shutuma hizo kwa kuuambia mtandao wa RadarOnline: "Casper sio shoga. Maneno haya yametokana na chuki na wivu.”Chanzo:leotainment.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment