Blogger Widgets
Home » » Muziki | WIZ KHALIFA, AMBER ROSE: HATUTAMFICHA MTOTO WETU KUHUSIANA NA UVUTAJI WA SIGARA.

Muziki | WIZ KHALIFA, AMBER ROSE: HATUTAMFICHA MTOTO WETU KUHUSIANA NA UVUTAJI WA SIGARA.



Rapa Wiz Khalifa na Mchumba wake Amber Rose wamefunguka kuwa hawatamficha Mtoto wao kuhusu matumizi ya Sigara ya Marijuana, kwani ni kilevi kama vilevi vingine.

Wiz Khalifa alizungumza hayo wakati akifanya mahojiano na Mtandao E! News, alisema hawezi kufanya mabadiliko ya kuacha kutumia Marijuana kwa maandalizi ya Mtoto wao.

" sitovuta sigara mbele ya mtoto wangu, kwa sababu sio kitu kizuri kwa mtoto mdogo, Lakini aendapo atafikia umri wa kuwa mtu mzima, sitomficha kuhusiana na uvutaji wa sigara" alisema Wiz Khalifa

Amber Rose alisema Sigara ni kama kilevi kingine, hivyo haitakuwa na maana ya kumficha mtoto, lakini yeye atatambua ni nini chakutumia na cha kuacha, ila atatambua kuwa Baba yake anapenda Sigara"

© Sweetbert Philemon This Is HABARI™

0 comments:

Post a Comment

.