MUZIKI | CHRIS BROWN NA RIHANNA WAKO PAMOJA KIKAZI ZAIDI
Baada ya kufanya kazi pamoja katika "Nobody's Bussineess, iliyo katika album ya Rihanna "Unpologetic". Chris Brown na Rihanna wameamua kutumia Muda wao zaidi wakiwa Studio kurecord Project yao mpya. Kwa sasa Chris Brown bado anaifanyia kazi album yake sita"Carpe Diem".
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment