MUZIKI | WIMBO MPYA KUTOKA KWA SAJINA FT BELLE 9 & PIPI - ROHO MBAYA
Mambo vipi,
Ni kitambo kirefu sana nimekuwa kimya
kutokana na maswala ya shule ila sasa
kidogo nimetulia. NImeamua kuuachia
wimbo huu unaitwa ROHO MBAYA ambao
nimewashirikisha BELLE 9 na PIPI kama
zawadi yangu kwa fans wangu, lakini
official single ya mwaka huu inafuata siku si
nyingi.
wimbo huu beat ilifanywa na Duke wa M-
Lab na vocals zilifanywa na Tetemesha
Records mwaka juzi.
Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu
kwa mwaka huu.
Mawasiliano yangu ni 0763 698208
0714 316745
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment