Audio ikiwa imefanywa pale BHITZ kwa Hermy na Pancho, Hii ndio Official video ya wimbo wa Press Play wa kwake Dj Choka akiwa amewashirikisha Mrap, Gosby, Vannessa, Mabeste. Video imefanywa na Dir. Nisher kutoka Arusha.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment