Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Fank Kitende alimaarufu Buibui, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata ajali ya kugongwa na Pikipiki wiki iliyopita. Wakati akitoka kushoot Video ya wimbo wake. Tuendelee kumwombea kwa pamoja.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment