Hii ni ngoma ya kwake Chikwaso, ambaye huku ndani kawapa shavu wana wawili ambao wanafanya vizuri katika game hii ya muziki kuna Stamina na Deddy. Huku full ngoma ikifanywa chini ya mikono ya Producer Dupy, Ngoma inaenda kwa jina la "Mchaka Mchaka" fanya kuipakua hapa chini na uisikilize.....