Kutoka kwa wakongwe wa Muziki wa Kizazi kipya hapa Bongo, hapa ni T.I.D na mkali wa Rhymes Proffesor Jay katika nyimbo mpya ya T.I.D - "RAHA". Ni moja tu ya harakati za wakongwe kurudi katika game hii kwa namna nyingine. Nyimbo hiyo iko hapa chini...
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™