Blogger Widgets
Home » » GOSPEL HIT | GOODLUCK GOZBERT(GOODY) - NIMEUONA | Audio & Video

GOSPEL HIT | GOODLUCK GOZBERT(GOODY) - NIMEUONA | Audio & Video


 Katika Gospel The lake zone link tunamleta kwenu Msanii ambaye anafanya Vizuri katika Muziki wa Injili, toka katika Jiji la Mwanza.
Anaitwa Goodluck Gozbety(Goody), hii hapa ni nyimbo mpya ya kwake iitwayo "Nimeuona" ikiwa ni video pamoja na Audio ya wimbo huo waweza kudownload pia. Zote hizi zikiwa ni harakati za utayarishaji wa Albamu yake kutoka Usanifu Experts.
 Hii ndiyo cover ya album hiyo, wapendwa tusibili albamu hii inakuja muda sio mrefu!

Kwa mawasiliano unaweza kumpata Goodluck Gozberty kupitia facebook .
Video ya wimbo huo ni hii hapa chini....
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.