Gazeti la Beeld limeripoti kuwa alidhania kuwa ni jambazi ndiye kavamia ndani ya nyumba yake, hivyo kufanya namna ya kujihami, Mpenzi wake ambaye walidumu naye kwa muda wa Mwaka mmoja.
Tukio hilo limetokea leo saa 10 alfajiri Nyumbani kwake Pistorius mjini Johannesburg. Mwanamke huyo amefariki kutokana na maumivu makali aliyoyapata katika mkono na kichwani.
Pistorius amekamatwa na Polisi na anatarajiwa kufikishwa leo mahakamani.
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™