Muziki wa injili una nafasi kubwa sana katika Maisha yetu,
Goodluck Gozbert Msanii wa muziki wa injili toka jijini Mwanza baada ya wimbo wa "Nimeuona" sasa karejea tena na wimbo mwingine ambao wimbo huu ni mahususi zaidi kwa wanandoa kutokana na ujumbe uliowakilishwa ndani ya wimbo huu, wimbo unaitwa
"Wa Moyo", Mpendwa ni wakati wako sasa kumsikiliza kwa mara nyingine tena. Pakua wimbo huo hapa chini...
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™