Blogger Widgets
Home » , » !!AZONTO & ANTENNA STYLE Ndani ya Bongo na Fuse ODG

!!AZONTO & ANTENNA STYLE Ndani ya Bongo na Fuse ODG


 Hii ni show nyingine ambayo inatazamiwa kuwa kali na ukweli ndani ya Tanzania, kwa ujio wa mkali wa Azonto na Antenna,, toka nchini Uingereza lakini akiwa na asili ya Ghana, Nana Richard Abiona aka Fuse ODG, ni Septemba 7 ndani ya jiji la Dar es Salaam.

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment

.