Blogger Widgets
Home » , » EXCLUSIVE | Hii ni mpya tena kutoka kwa Binti aliyedai kazaa na Diamond

EXCLUSIVE | Hii ni mpya tena kutoka kwa Binti aliyedai kazaa na Diamond


 Binti aliyedai kuzaa na na Hit Maker wa Number One "Diamond Platnumz, Sasha Juma (Pichani) amekanusha usemi huo na kusema yeye hajawahi kuzaa na Msanii huyo.

Akifanya mahojiano na Mtandao wa Saluti 5 Sasha amesema ni kweli aliongea na Gazeti kuwa kazaa na Diamond na huyo mtoto sio wa kwake bali ni dada yake.

Sasha alishawishiwa na mtu kwa ajili ya kutengeneza stori hiyo huku akiwa ameahidiwa baadhi ya vitu kupewa kwa kusema hivyo.

Alimaliza kwa kusema hakuna ukweli wowote kati ya yeye kuzaa na Diamond na hajawi kuzaa kabisa, bali ni uongo tu, kutokana na kwamba alishawishiwa.

Source: Saluti5

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment