Blogger Widgets
Home » , » FIESTA | Iringa ilikuwa ni Burudani ya kutosha

FIESTA | Iringa ilikuwa ni Burudani ya kutosha


 Mashabiki toka Mkoani Iringa wa wakiwa wamefurika kushuhudia shangwe za Fiesta, Uwanja wa Samora

Shilole akiwa jukwaani na Dancers wake

Tupogo hit maker, Ommy Dimpoz on the Stage


Walter Chilambo akiperform

Kassimu Mganga akiwarusha mashabiki waliofurika kiwanjani hapo

Linah akiperfom jukwaani

Madee akimsaka aliyemwega pombe yake

Young Killer na Stamina jukwaani


© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment