Blogger Widgets
Home » , » MUZIKI | RAYC AMPA SALUTI "Young Killer He is a gud rapper"

MUZIKI | RAYC AMPA SALUTI "Young Killer He is a gud rapper"Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameonyesha kumkubali dogo anayekuja kasi kwenye muziki wa Hip Hop Bongo,Young Killer kuwa ni msanii anyefanya vizuri kwenye tasnia hiyo. Kupitia mtandao wa Instragramu aliuliza kuwa Nani Kaimba huu wimbo wa Miss Superstar!!!Nijulisheni I like his Flow!He is a gud rapper.
 

Ambapo mashabiki na wapenzi wa Muziki wa Mkali wa Dear Gambe walimjibu Ray C kuwa si mwingine bali ni  Young Killer.

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment