Blogger Widgets
Home » , , » PHOTO | Media Bonanza Arusha ilikuwa Shangwe sana

PHOTO | Media Bonanza Arusha ilikuwa Shangwe sana


Waamuzi wa Shindano la Media Bonanza

Vyombo vya Habari vina Msaada mkubwa sana katika Jamii nzima hasa pale Jamii inapohitaji kufahamu mambo yanyoendelea katika wakati fulani. Habari, Burudani, Elimu vyote hupatikana katika Vyombo vya Habari.

Kama ni hivyo basi Umoja lazima uwepo katika vyombo vya Habari. Umoja huo unaletwa na Mashindano ambayo yamepewa jina la Media Bonanza. 

Na hiki ndivyo ilivyokuwa katika Mashindano hayo katika Jiji la Arusha, ambapo Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Vimekutana na kushiriki kwa Pamoja.


Wachezaji wa Mpira wa Pete toka Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji AJTC
 
Shangwe za kutosha toka AJTC baada ya kupata Goli la Kwanza
 
ORS Fm nao hawakubaki nyuma walikuwepo

Baadhi ya Mashabiki waliohudhuria Bonanza

Shaffi Dauda, Sport Extra Clouds Fm, alikuwepo

Shaffi Dauda, Sport Extra Clouds Fm, alikuwepo
 
AJTC Football Team
 
Mechi ya Mpira wa Miguu iliahirishwa kutokana na Giza kuzidi hivyo wachezaji kushindwa kuendelea na Mchezo, sasa Fainali itafanyika Jijini Dar es Salaam

TASWA kutoka Dar es Salaam ambao walishinda katika mchezo wa Netball


 Was very funny, hata huu mcezo ulikuwepo
 Picha: Kiongozi Blog

© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877

0 comments:

Post a Comment