Akiwa chini ya Candy n’ Candy ya Record ya Kenya, Baby Joseph Madaha
a.k.a Baby Madaha ametoa uhuru kwa fans wake wasikilize na kutoa comment
juu ya ngoma zake mpya kabisa mbili ambazo anatarajia kuziachia hivi
karibuni.
Ikumbukwe pia tangu apate shavu la kufanya kazi na Candy n’ Candy ya
Kenya hana muda mrefu sana na tayari amesha achia ngoma yenye kichupa
kikali inayokwenda kwa jina la ‘Summer Holiday’. Na sasa ameshafanya
ngoma kadhaa ambazo zitaachiwa taratibu kulingana na wakati na hitaji la
watu lakini kwa sasa ni hizi mbili ambazo ni ‘Mr. DJ’ na ‘Sdueeze It’.
© Dvj Sweetp
0 comments:
Post a Comment