Blogger Widgets
Home » , » DOWNLOAD | Super Lady - Narudi Nyumbani (Audio)

DOWNLOAD | Super Lady - Narudi Nyumbani (Audio)


 Muite Super Lady the Youngest Lady anayekuja katika Gemu hii ya Muziki na hii track yake Mpya ambayo ameiachia hivi Karibuni, inaitwa "Narudi Nyumbani" ndani ya Ngoma kaimba mambo mengi sana ambay vijana wengi huyafikilia katika kuhakikisha maisha yanakuwa Mazuri na yanasonga Mbele.
 Kwa Ushauri na Maoni mbalimbali unaweza kumpata Facebook hapa
Pata time ya kuisikiliza iko hapa...

© Dvj Sweetp

0 comments:

Post a Comment

.