Tatizo la watu kuendelea kutumia Majina na picha za Celebrity au Superstar katika mitandao ya kijamii limezidi kushamiri. Watu hawa wamekuwa wakitumia majina hayo katika mitandao mbalimbali hasa Facebook, huku wakitapeli watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa Mastaa hao, Akaunti fake za mastaa zimekuwa zikufunguliwa na watu hao kwa lengo kujipatia fedha toka kwa fans wa Mastaa hao.
Msanii kutoka Uganda Juliana Kanyomozi amekumbwa na tatizo hilo, baada ya kundi la watu kutumia Jina na picha za Juliana katika mtandao wa facebook na kuwafanyia utapeli mashabiki wake. Kupitia ukurasa wake halali wa facebook, Juliana ameendika
"TO ALL JULIANA KANYOMOZI FANS , PLEASE BE
INFORMED THAT THERE IS A GROUP OF UNSCRUPULOUS INDIVIDUALS WHO HAVE
OPENED UP FACEBOOK ACCOUNTS USING THE NAME AND PHOTOGRAPHS OF JULIANA
KANYOMOZI THE MUSICIAN. THESE INDIVIDUALS HAVE GONE AHEAD TO WRITE AND
SEND MESSAGES TO OUR FANS SOLICITING FOR MONEY CLAIMING THAT JULIANA
KANYOMOZI THE 'MUSICIAN' IS IN URGENT NEED OF IT. WE WISH TO ALERT AND
INFORM THE PUBLIC NOT TO TAKE SUCH MESSAGES SERIOUSLY AND THUS, SHOULD
IGNORE AND TREAT THEM WITH UTMOST CONTEMPT. THE PUBLIC THEREFORE IS
WARNED AND ALERTED NOT TO SEND MONEY OR ANY FORM OF GIFT IN THIS REGARD.
WHOEVER GOES AHEAD TO DO SO, DOES IT AT HIS/HER OWN RISK.
MANAGEMENT."
MANAGEMENT."
0 comments:
Post a Comment