Baada ya Sony Erricson kutoka na Simu ambayo inauwezo wa kukaa katika maji kwa Muda wa dakika 30. Samsung Mobile wanakuja na kitu kingine sha utofauti ni simu ambayo haiwezi kuvunjika, ikiwa katika mfumo kama karatasi, kiasi kwamba inawezwa kukunjwa.
Mdau wa mawasiliano wewe unasema nini katika hili??????????
Angalia show off yake katika video hapa chini.
0 comments:
Post a Comment