Kauli hii huwa ipo sana katika vichwa hasa vya vijana wengi ambao, ndio kwanza wanapigana kwa ajili ya maisha "Life Is So Hard", ila kwa Brand new Artist D'Mike toka pande za Mwanza ila kwa sasa akiwa Jijini Nairobi ni Nyimbo mpya yenye jina hilo akiwa amemshirikisha Sappy. Download hapa na usikilize maudhui yake...
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™