Pata wimbo mpya tena kutoka kwa artist anayekuja vizuri kutoka jijini Mwanza, G Sparrow
Ujumbe wake ni huu..."
Niaje
friends leo muda si mrefu nitatambulisha ngoma yangu mpya hapa na watu
waweze download au kushare na marafiki hii track imefanyaika Zoo records
hiyo track kuna wasanii wakali wakubwa pia Hii track ndo inabeba jina
la Sparrow ndo maana naitwa Gizzo classic wa sparrow Wimbo unaitwa
Sparrow ft Mark 'Makamua' Paul kutoka Wakali kwanza T-Nock pia na kuna
saut nyingne ya mwanadada mkali bongo hiyo ni suprise kwako kutambua
saut hiyo muda si mrefu nitaiweka hapa!!!!
Thankx watu wangu wa nguvu!!
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™