Blogger Widgets
Home » » NIPIGIE KURA KATIKA SHINDANO LA TANZANIA BLOG AWARD HAPA

NIPIGIE KURA KATIKA SHINDANO LA TANZANIA BLOG AWARD HAPA



Mambo vipi Tanzania, ni Muda sasa tumekuwa wote katika , Burudani hii ya kitanzania na Mambo mengine mengine mengi, Ukiwa kama shabiki namba Moja na mtembeleaji wa Blog hii ya DvjSweetP .
Nakuomba uweze kushiriki nami katika kunipigia Kura niweze kuibuka Mshindi katika Shindano la Tanzania Blog Award. Katika Vipengele Vifuatavyo:-

 NB: Blog inaitwa :-  dvjsweetp.blogspot.com

Bonyeza Hapa kunipigia kura katika:-
1. Best Entertainments Blog

Bonyeza Hapa kunipigia Kura katika:-
2. Best Design/Graphic Design Blog


Shukrani kwa Kura yako, Tuko pamoja na Endelea Kutembelea Blog Hii kwa Burudani ya Kila ya Aina.
#OneLoveTanzania

0 comments:

Post a Comment

.