P Square, walifunika vya kutosha katika show ambayo waliifanya Canada.
Kioja kikubwa ambacho mapacha hao kutoka Nigereia walikifanya katika show hiyo, ni pamoja kuaawachia warembo wa canada kuwashikashika miili yao hasa sehemu nyeti, Cheki na hizi picha uone ilivyokuwa
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment