Muziki wa Kitanzania kutoka Diamond Platnumz, unaonekana kupendwa sana na Watu, sasa hii ni video ambayo inakuhakikishia hilo, Baada ya Mzungu mmoja kupost Video katika Youtube akiimba wimbo wa Mbagala wote kama Ulivyo.
Itazame hapa
Lakini pia Diamond amekuwa msanii mzuri san katika kufuatilia kazi yake, na hivi ndivyo alivyoandika Facebook baada ya kukutana na Video hiyo.
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
Home »
Diamond
,
Diamond Platinumz
,
Video
» VIDEO | Muziki wa Diamond Platnumz unazidi kuvuka Boda, Huyu ni Mzungu akiimba "Mbagala"
0 comments:
Post a Comment