Home »
Jason Derulo
,
News
» STORY | Jason Derulo akiri alikuwa Mlevi wa Kupindukia hadi kushindwa Kurecord Albamu yake
STORY | Jason Derulo akiri alikuwa Mlevi wa Kupindukia hadi kushindwa Kurecord Albamu yake
Msanii Jason Derulo ambaye alihit na ngoma ya "Watch Say" na kuonekana Msanii unique sana kutoka na alivyohit. Amethibitisha kuwa yeye alikuwa Mlevi wa Kupindukia na ndicho kilichomshusha kimuziki.
Jason Derulo alilewa sana wakati alipoata ajali ya kuuumia Shingo kitu ambacho kilimletea madhara makubwa hasa kushindwa kufanya mazoezi ya Kimuzikina kushindwa kabisa kuendelea na Show ya aina yoyote ile.
Alisema unywaji wapombe ulimuondoa kabisa katika utendaji kazi ulio mzuri, na kumfanya aambulie kufutiwa Matamasha yote aliyotarajia kuyafanya.
"Nilikuwa nalewa kupindukia usiku kucha, mpaka asubuhi ndio nilirudi kwenye ndege, hadi narudi nyumbani mida ya asubuhi, nilikuwa natembea katika viwanja vya ndege kama zombie nisiyekuwa na hili wala lile, sababu ya hangover nyingi na kulewa kupindukia" aliliambia Haffington Post la Uingereza.
Akiwa na Umri wa Miaka 23 Jason ambaye ni Mpenzi wa Msanii mwenzake Jordan Sparks, alisema Pombe ilimsababisha kupoteza sauti yake ya kuimba , hivyo kumfanya kushindwa kurecord albamu yake ya pili.
Sasa Jason Derulo anatumia zaidi ya Masaa nane katika kufanya Mazoezi ya Tour atakayoifanya hivi karibuni, Jason Derulo amebaki na maswali mengi ikiwemo ataweza kudance kama ilivyokuwa mwanzo?? alikiri.
My Opinion
Artist inabidi muwe Perfect, pombe inaweza kukupoteza kabisa katika Ramani ya Muziki
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment