Beyonce alijikuta katika wakati Mgumu baada ya Shabiki kumvuta kutoka katika stage, wakati huo Beyonce alikuwa akisalimiana na Mashabiki kama ilivyo kawaida kwa Wasanii kusalimia mashabiki wakiwa katika Stage.
Haikutambulika sababu ilikuwa nini, mpaka shabiki huyo kumvuta Beyonce ambaye alisaidiwa na BodyGuard wake na kuendelea na Show kama kawaida.
Tazama Video hapa
© Dvj Sweetp Dj | Radio Producer | Sales and Marketing | Social Media Admin
For hire +255 753 672 877
0 comments:
Post a Comment