Hakuna kitu kinachomuumiza msanii kama kuambiwa kuwa yeye si mwanamuziki kwakuwa hajui kupiga chombo chochote cha muziki.
Mbaya zaidi kama huo ndio ukweli.
Japo sio lazima kwa msanii kuwa na quality hizo, ni muhimu katika career yake na ni kitu anachoweza kujivunia.
Huenda
ndo sababu hivi karibuni Lady Jaydee ameamua kuchukua mazoezi ya kutosha
katika kifaa kimoja wapo muhimu katika muziki, Piano.
katika
blog yake kunaonekana picha akiwa na mume wake Captain G wakifanya
shopping kwenye duka la piano mjini Capetown, Afrika kusini la Allen
& Fisher.
Ukifungua
tu ukurasa wake wa twitter utakutana na picha ya piano kama background.
Mambo mengine yanaendelea lakini kwa sasa ni kitu kimoja tu Jide
angependa kusema "kwa kipindi hiki mazungumzo yangu ni Piano tu, mpaka hapo litakapotokea jingine jipya"

0 comments:
Post a Comment