JK afungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana afDB

Rais
Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa
Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dk. Donald Kaberuka,
Mshauri wa Mfalme wa Morroco Omar Kabbaj (kushoto), Waziri wa Fedha Dk.
(wa pili kushoto) muda mfupi kabla ya kuzindua mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Bodi ya Magavana wa Benki ya Afrika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha
leo Mei 31, 2012

Rais
Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa
Botswana, Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dk. Donald Kaberuka,
Mshauri wa Mfalme wa Morroco, Omar Kabbaj (kushoto), Waziri wa Fedha Dk.
William Mgimwa (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Marais
wastaafu wa Benki ya Afrika. (Picha zote na IKULU)
The Habari.
0 comments:
Post a Comment