Kuanzia leo, taswira za vipindi vya luninga nchini Tanzania haitokuwa
kama ile ambayo wengi wetu tumeizoea. Kuna kitu kipya na cha aina
yake.Ni Talk Show inayokwenda kwa jina The Mboni Show ambayo mwenyeji au
host wake ni mwanadada Mboni Masimba.
The Mboni Show, kitakuwa kinarushwa kila siku ya Alhamisi,Saa 3 Kamili
Usiku Mpaka Saa 4 na kisha marudio yake yatakuwa yanafanyika Saa 7
Mchana na Saa 10 jioni siku ya Jumamosi. Kwa maana hiyo ni kipindi
ambacho,bila shaka, kitakufanya usibanduke hapo utakapokuwa ukikitazamia
kwa muda wa takribani saa 1. Yote hayo ni kupitia kituo cha
televisheni chaEATV(East Africa Television).
Lakini Mboni Masimba ni nani? Kipindi chake kitahusu nini na kitakuwa na
tofauti gani kutoka katika vipindi vingine kadhaa vilivyoko katika
stesheni mbalimbali za luninga? Ili kupata majibu kwa maswali hayo na
mengine,nilimtafuta Mboni Mashimba. Haya hapa ni mazungumzo yetu;
BC: Mboni, Karibu sana ndani ya BC. Mambo vipi?

0 comments:
Post a Comment