 |
| Aliyekuwa Mbunge wa Igunga Dk Laly Kafumu(CCM) |
Mahakamu Kuu kanda ya Tabora imemvua Ubunge, Mbunge wa Igunga katika Hukumu iliyotolewa leo na Jaji Mary Shangali. Dk Laly Kafumu alipata Ubunge katika uchaguzi mdogo uliofanyika baada ya Mbunge wa Jimbo hilo kujiuzulu Ndugu Rostamu Aziz(CCM)
© Sweetbert Philemon This Is HABARI™
0 comments:
Post a Comment