Leo hii ni siku tunayoikumbuka kwa majonzi ya kuondokewa na wenzetu mtangazaji na rapa Vivian Tilya pamoja na Producer Compplex, ikiwa ni miaka ni miaka 7 tangu kufariki kwao mwaka 2005 jumapili 21 ya mwezi wa nane, majira ya saa tatu asubuhi.
Siku ambayo vipaji viwili vya bongo flavour Producer\Rapper Complex ambaye kipindi hicho alikuwa akifanya kazi Aigies Records na mtangazaji wa Clouds\Rapper Vivian walifariki kwa ajali ya gari eneo la Mbwewe wakiwa safarini kutoka Morogoro kwenye Fiesta iliyopewa theme ya MOTO ZAIDI wakiwa
wanaelekea Arusha kwenye Anniversary ya ndoa ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na Vivian na siku hiyo pia vivian alikua anaenda kumtabulisha Complex kama mchumba wake kwa wazazi wake.
:- http://djfetty.blogspot.com
mdogo wa marehem ambae kwa sasa ameamua kufata nyayo za marehem dada yake ambae ni mtangazaji wa radio y amtandaoni, Tone Radio, ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook "our roots say we're sisters, our hearts say we're friends.Its now 7 years since you left us...you will always be part of me,,,i love you...may your sweet soul continue to rest in peace, i miss you sis."
even though we spend little time together but we are family. Miss you shemeji. Its now 7 years since you left us...may your sweet soul continue to rest in peace.I hope you people are happy there. miss u."
© Sweetbert Philemon This Is HABARI™
0 comments:
Post a Comment