Blogger Widgets
Home » » Muziki | MHAYA "EBSS ITANIPA GITAA NIKISHINDA"

Muziki | MHAYA "EBSS ITANIPA GITAA NIKISHINDA"


Linus Mhaya Mshiriki wa EBSS MWANZA

Ana umri wa miaka 24, mhitimu wa Chuo Kikuu Dodoma, tangu ana umri wa miaka 17 alikuwa akiimba. Na endapo akiwa mshindi wa EBSS Gitaa ndio kifaa chake cha kwanza kununua.


© Sweetbert Philemon This Is HABARI™

0 comments:

Post a Comment

.