Blogger Widgets
Home » » Michezo | TIMU YA YANGA IKIWA NCHINI RWANDA

Michezo | TIMU YA YANGA IKIWA NCHINI RWANDA

Viungo wa Yanga, Frank Domayo na Shamte Ally wakiwania mpira.
Straika wa yanga, Jerry Tegete (kushoto) akiwatazama Haruna Niyonzima (katikati) na Juma Abdul katika mazoezi hayo.
Kiungo Mganda, Hamis Kiiza (kushoto) akimtoka beki wa timu hiyo Ladislaus Mbogo.…

Viungo wa Yanga, Frank Domayo na Shamte Ally wakiwania mpira.
Straika wa yanga, Jerry Tegete (kushoto) akiwatazama Haruna Niyonzima (katikati) na Juma Abdul katika mazoezi hayo.
Kiungo Mganda, Hamis Kiiza (kushoto) akimtoka beki wa timu hiyo Ladislaus Mbogo.

Makipa wa Yanga, Yaw Berko (aliyesimama) na Said Mohamed wakifanya mazoezi.

Kikosi cha Yanga, ambacho kipo jijini Kigari nchini Rwanda, kikifanya mazoezi katika uwanja mdogo wa Amahoro.
PICHA NA GLOBAL PUBLISHER TZ

© Sweetbert Philemon This Is HABARI™

0 comments:

Post a Comment

.