![]() |
Prezzo |
Mshindi na mbili wa Shindano la Big Brother Star Game Africa, kutoka nchini Kenya Prezzo leo yuko nchini Nigeria kwa ajili ya Mpango Mmmoja Kampeni ya BBA iliyotolewa kwake akiwa kama Balozi, Prezzoo atakuwa katika Jiji la Mega, na pia Mkutano na Waandishi wa Habari Ikeja.
Pia Prezzo anaweza tumia nafasi hii kukutana na Goldie mshiriki mwenzake Big Brother, ambaye alionyesha upendo zaidi kwa Prezzo pindi wako katika Jumba la Big Brother.
© Sweetbert Philemon This Is HABARI™
0 comments:
Post a Comment