“Hatuwezi kuzuia hela iliyotolewa na Sharo kama kodi ya pango kwa sababu kitendo hicho ni sawa na dhuluma ambayo ni kosa kwa mujibu wa dini yetu ya Kikristo,” walisema wamiliki hao.
Walisema kuwa, watairudisha kodi hiyo kwasababu Sharo alihamia kwenye nyumba yao takriban wiki moja tu kabla ya ajali iliyosababisha mauti kumfika.
![]() |
Nyumba aliyoishi Sharo kwa wiki moja tu maeneo ya Sinza B, Dar es Salaam |
Sehemu nyumba aliyokuwa akiishi Sharo, Sinza B, geti jeusi ndio la kuingilia kwenda kwenye nyumba ya ndani aliyopanga msanii huyo.
Hii ndio nyumba ya kina Sharo Milionea ya kule Lusanga, Muheza
Chanzo:www.saluti5.com
© Sweetbert Philemon This Is HABARI™
0 comments:
Post a Comment