Blogger Widgets
Home » , » Muziki | CHRIS BROWN AHAIDI KUISHI SAYARI TOFAUTI NA DUNIA

Muziki | CHRIS BROWN AHAIDI KUISHI SAYARI TOFAUTI NA DUNIA


Chris Brown
Mwanamziki wa Marekani katika miondoko ya Rn`B na Pop Chris Brown ameahidi baada ya album atakayo iachia mwakani 2013 hataendelea kuishi hapa Duniani na anadhani kuenda kuishi ulimwengu mwingine.
Album yake imeweza kuwa nomineted for Best Urban Contemporary Album at the 55th Annual Grammy Awards.
Akitiririka “After this album I wanna leave this planet,” Chris Brown...“Be you but fu**** get credit for the work u do. Not becuz someone cosigns who knows absolutely nothing about music and culture!”
Story hii ni kwamujibu wa Rap-Up.com

© Sweetbert Philemon This Is HABARI™

0 comments:

Post a Comment

.