ANAITWA DAX..MSANII KUTOKA TARIME MARA..MKALI
WA MICHANO, SASA AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA UNAITWA SAFARI WA HIP HOP
AKIWA AMEMCHIRIKISHA 'MAUA',PRODUCER ANAITWA OMMY RUNNER. NGOMA KALI..
LAKE ZONE INAENDELEA KUTOA WASANII WAZURI
KATIKA MEDANI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA..MWANZA SASA HIVI KUNA WASANII
WAPYA WENYE VIPAJI VYA UKWELI...UKIACHA WALE WALIOFAHAMIKA TAYARI, KUNA
WAPYA WAKALI KAMA OBEJA ALIYE CHINI YA ONE LOVE FX YA TIDD HOTTER,
T-NOCK AMBAE NI MKALI WA KUIMBA, BROWN WA NBA, FESTUDO N.K
MARA PIA INAWASANII WAKALI WAPYA AMBAO WANAINGIA KWA KISHINDO KWENYE SOKO LA MUZIKI, PRODUCERS
WANAOFANYA VIZURI PIA..KUNA WASANII KAMA DAX KUTOKA TARIME, BLEZ WA
MUSOMA, LAZZY B, KAZO, ROJALEE, CHIRO BOY, M-WHY, RAMAWISE N.K....
KWA WAIMBAJI WAPYA BR KIZZO ANAKIMBIZA SANA, MAN KABE, CLASS VOICE,
SPEAR BOY AMBAE KIUKWELI ANASTYLE UNIQUE SANA KWA WAIMBAJI TENA
TANZANIA...IDD COM, CHIKAKA,...YUPO JAMAA ANAITWA LAWIZE AMBAE YEYE SIO
MPYA ILA ANAWAKILISHA VIZURI SANA LAKE ZONE AKIWA NJE NA NDANI YA KANDA
HII....NAAMINI KUCHELEWA SIO KUSHINDWA...WALIOKO JUU WAWE TAYARI
KUKUTANA NA HAWA WAKALI WA LAKE ZONE...
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
0 comments:
Post a Comment